Nafasi za volunteers

Nafasi za volunteers

Tujikomboe Finance

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
212
Reaction score
81
Tujikomboe Microfinance ni asasi ya kifedha inayofanya kazi zake Mbagala Temeke. Tunahitaji volunteers watatu kwa ajili ya nafasi ya mhasibu msaidizi, muingiza data na afisa mikopo.

Sifa uwe mhitimu wa chuo kikuu kwa shahada ya uhasibu, shahada yoyote kwa muingiza data na afisa mkopo. Wakazi wa tarafa ya Mbagala ndio hasa walengwa wa nafasi hizi.

Kama unahitahi basi andika kwa tujikomboemicrofinance@yahoo.com au tuma ujumbe ukurasa wa Facebook: Tujikomboemicrofinance:
 
mbona nafind fb hyo page haiji??
 
Back
Top Bottom