nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 13,066 Reaction score 15,139 Dec 8, 2014 #1 Pata nafasi za kidato cha kwanza shule haiko mbali kutoka stendi ya mkoa Fomu zinapatikana kwa katibu muhtasi 0768021476
Pata nafasi za kidato cha kwanza shule haiko mbali kutoka stendi ya mkoa Fomu zinapatikana kwa katibu muhtasi 0768021476
Kaplizer JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 727 Reaction score 598 Dec 8, 2014 #2 Mna advance?
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,771 Dec 9, 2014 #3 Hahahaaa.. Hii shule kumbe inachapa kazi? Mimi napitaga hapo daily, but naona magofu tuu.. Inabidi mzazi ufike shuleni kabisa uone mazingira yake kabla ya kuchukua form aiseeee.. Usilolijua, kweli ni usiku wa giza.
Hahahaaa.. Hii shule kumbe inachapa kazi? Mimi napitaga hapo daily, but naona magofu tuu.. Inabidi mzazi ufike shuleni kabisa uone mazingira yake kabla ya kuchukua form aiseeee.. Usilolijua, kweli ni usiku wa giza.