hebu tuambie kwa nini pccb? na sio taasisi nyingine?Je wanatangaza nafasi zao lini? Mwenye taarifa pls!
siku hizi wanafanya internal recruitment,
Jamaa waliajiri watu kibao kama Assistant Investigative Officers( walinzi,wahudumu,madereva, wahasibu wasaidizi,mafundi mchundo etc) sasa wengi wao wamejiendeleza Open University wamepata degree hivyo basi wanabadilishiwa vyeo (wanakuwa promoted) kuwa mainvestigative officer.
Wakitaka kuongeza maassistant investigative officers wanaenda kurecruit jkt.
Source,HQ Upanga
Mfumo huo ni wa kifisadi nao wanapaswa kuchunguzwa.......Ndiyo maana wanararuana kwa risasi.
hii safi sana!wafanye hivyoo ata kwa taasisi nyingine ili vimemo vipunguesiku hizi wanafanya internal recruitment,
Jamaa waliajiri watu kibao kama Assistant Investigative Officers( walinzi,wahudumu,madereva, wahasibu wasaidizi,mafundi mchundo etc) sasa wengi wao wamejiendeleza Open University wamepata degree hivyo basi wanabadilishiwa vyeo (wanakuwa promoted) kuwa mainvestigative officer.
Wakitaka kuongeza maassistant investigative officers wanaenda kurecruit jkt.
Source,HQ Upanga
Mfumo huo ni wa kifisadi nao wanapaswa kuchunguzwa.......Ndiyo maana wanararuana kwa risasi.
Nani atawachunguza sasa?