Mkuu wasiliana na mimi kupitia hiyo namba.huduma ni bure so huwezi tapeliwaOfisi zenu ziko wapiii??
Watsup siyo kila mtu anayo!
Halafu website yenu iweke hapa watu tutembelee tujuwe tunafanyaje!
Hahaaaaa
hii nbox kwa watsup mtu
UNATAPELIWA MCHANA KWEUPE...
Mkuu kama unona tangazo halikuhusu basi pita kimya kimya.wenzako linalowahusu wamenitafuta niwewasaidia you dont speak for everybodyWwe ndo ****** kabisaa yan unaona kabisaa kupata vyuo vya hapa tu watu vinawashindaa ,,,
Ndio itakuwa huko chinaa