Mkuu ni pm ntakupatia info za vyuo vizuri vya mbbs china admission bado ziko openJamani naulizia mwenye uelewa na cutoff za kuingia Makerere University.Nina mdogo wangu ana division III point 16 ACSEE mwaka huu , Chem =E, Bios =E na Phy=S.
Mwenye uelewa nauliza kama anaweza kupata nafasi Makerere na gharama zao zikoje?