Nafasi za mahakimu

Nafasi za mahakimu

Dakile

Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
54
Reaction score
10
Wakuu niliambiwa kazi za mahakimu zimetangazwa! Mbona sijaona? Anaejua zaidi atupe taarifa
 
hata mimi nasikilizia mkuu nilisikia zinakuja kama nafasi 300 hivi...
 
acha kbs kitaa hapaelewek me mwenyewe nackilizia hizo hebu wac2weke pending kiac hiki.
 
acha kbs kitaa hapaelewek me mwenyewe nackilizia hizo hebu wac2weke pending kiac hiki.

Kuweni na subira, maana hata mimi nazisikilizia mbaya tu, sisi tumekaa kitaa hadi najilaumu kwanin nlisomea fani hii, kama vipi tuendelee kusubiri huku tukipanga mipango endelevu ya kujikomoa kimaisha, kama home kuna kauwezo tuendelee kuunga trela la law xkul maana kitaa noma mwanangu asikuambie people, sawa!
 
Wakuu niliambiwa kazi za mahakimu zimetangazwa! Mbona sijaona? Anaejua zaidi atupe taarifa

Kwa utaratibu ambao niliusikia ni kwamba hizi kazi hua zinatoka baada ya miaka miwili..hizo mia tatu zilitokaga mwaka jana..kwaio nyingine may be hadi mwakani hivyo ndo nikivyosikia toka kwa wadau labda utaratibu uwe umebadilika over..naona unaitaka primary court eenhh..!!!
 
Back
Top Bottom