acha dharau ndugu,inamaana polisi ni kazi ya ajabu,kwanza inaonekana umesoma chuo cha kata[/QUOTE
I hate the police and I'll alwayz remain none loving police. Naunga mkono hoja polisi ni kazi ya kijinga. Wanaua watu hovyo, wanawasingizia watu makosa ya uongo, wananuka rushwa wanatembea na wake za watu. Aaaaaaargh, polisi ya bongo???