Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Katika wilaya ama mikoa yenye Kambi Kubwa za Jeshi ni ngumu sana kufanikiwa wadogo zangu kabla ya Interview hebu Jaribu Kuhaha tafuta mtu akupige Jeki Naona Kila mtu anayehusika anawatu wake Tatizo linakuja kama huna ndugu/mtu unayekumbania Utaishia hatua za Chini Sana.
Utaratibu Uliotumika Wilaya ya Temeke kwa kweli siyo sahihi kabisa nimefuatilia namna watu wanavyofanya Usaili ni kwamba mwaka huu kila mtu ana equal opportunity ya Kufanya Usaili lakini siyo kufika na Kusoma majina ya watu na wengine wabadilike.
Katika Kupita mikoa mbalimbali Kufuatilia hizi nafasi zilizotangazwa nimefika eneo la Iringa wao Kuna mkanganyiko awali Tangazo lilielekeza Kupeleka maombi kwa Mkuu wa Wilaya yakaja mabadiliko Kuwa zipelekwe kwa Afisa Tarafa na ndo huko Dog- eaters town wanakopeleka.
Leo nimefika Njombe lakini hakuna tetesi/ dalili za Kutangazwa nafasi hizi.