Nafasi za kidato cha 5 zimetoka

MAGAMBA MATATU

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
646
1,171
wanafunzi wapatao 68000 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano, habari imetolewa na waziri wa elimu kwa vyombo vya habari,na waziri katangaza wanafunzi kuripoti shuleni kuanzia tarehe 10 july, na watakaoshindwa kuripoti hadi kufikia tarehe 30 july nafasi zao zitatolewa kwa wale ambao hawajapata nafasi kwa madaraja mengine

Sourse: Taarifa ya habari Star tv saa 2 usiku huu
 
lakini pamoja na kuona waziri akitangaza kuwa selection zimetoka ila nashangazwa kuwa nimetembelea tovuti ya necta bado hawajaweka inakuaje hapo, au huwa hawaweki?????
 
wanafunzi wapatao 68000 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano, habari imetolewa na waziri wa elimu kwa vyombo vya habari,na waziri katangaza wanafunzi kuripoti shuleni kuanzia tarehe 10 july, na watakaoshindwa kuripoti hadi kufikia tarehe 30 july nafasi zao zitatolewa kwa wale ambao hawajapata nafasi kwa madaraja mengine

Sourse: Taarifa ya habari Star tv saa 2 usiku huu
Jaribu kutembele thread mbali mbali idadi ya waliopata nafasi ni 54085 wavulana31352 wsichana 22733 na waliokosa ni 16800.

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
hapo ndoo nashangaa viongozi wetu,wanatangaza kitu wakati wahusika hawajawekewa kwenye mtandao,,,hii hatari sana, au wanazani ni kukaa nayo na familia zao wakayaona huku wahusika hawajapewa,,,,
 
wanafunzi wapatao 68000 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano, habari imetolewa na waziri wa elimu kwa vyombo vya habari,na waziri katangaza wanafunzi kuripoti shuleni kuanzia tarehe 10 july, na watakaoshindwa kuripoti hadi kufikia tarehe 30 july nafasi zao zitatolewa kwa wale ambao hawajapata nafasi kwa madaraja mengine

Sourse: Taarifa ya habari Star tv saa 2 usiku huu

Madaraja mengine yani wale wenye Zero au !

Waziri huyo kama sijamwelewa vizuri !
 
wanafunzi wapatao 68000 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano, habari imetolewa na waziri wa elimu kwa vyombo vya habari,na waziri katangaza wanafunzi kuripoti shuleni kuanzia tarehe 10 july, na watakaoshindwa kuripoti hadi kufikia tarehe 30 july nafasi zao zitatolewa kwa wale ambao hawajapata nafasi kwa madaraja mengine

Sourse: Taarifa ya habari Star tv saa 2 usiku huu

weka link basi tuwacheki wadogo zetu, au zipo katika website gani?
 
wanafunzi wapatao 68000 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano, habari imetolewa na waziri wa elimu kwa vyombo vya habari,na waziri katangaza wanafunzi kuripoti shuleni kuanzia tarehe 10 july, na watakaoshindwa kuripoti hadi kufikia tarehe 30 july nafasi zao zitatolewa kwa wale ambao hawajapata nafasi kwa madaraja mengine

Sourse: Taarifa ya habari Star tv saa 2 usiku huu
Hivi taarifa ya habari haina marudio.
 
Jifunze kuweka links ili tukuamini.
 
Back
Top Bottom