Nafasi za kazi

Nafasi za kazi

kiipwi

Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
66
Reaction score
22
Wawekezaji wazalendo wanawahitaji college graduate kwa nafasi za kazi. Kwa maelezo zaidi tembelea face book page yetu ya BAEZ ENTERPRISES.
 
ana nia ya kuziangusha campuni za nyumbani,si angeweka kila kitu hapa kuliko kuwasaidia fb kupata wateja
 
Haina haja ya kuja ku post kitu ambacho hakijakamilika kama ni fb Huko Huko maana ungeweka Hata link kama upo serious Hata kidogo unadhani kila mtu Ana fb account. .... think twice before u post anything here
 
Ni ukweli sio kilamtu ana account fb...bac mkuu kama vp ungetupia izo nafasi humu.
 
Khaaaa tutembelee fb tena hahahahaa nishazijua hizi ndio za kutembeza sabuni za promotion
 
fb a.k.a kiuzio sura! hakuna jpya huko,hzo kazi wape watoto wa mama! mi mgumu nakoma na J.F
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom