Tunatafuta wahudumu wawili (2) wa night club wenye sifa zifuatazo :
Kwa wahitaji, wanaweza kuleta CV zao kupitia :
Club Manager - 0654 743 825
- Umri usiopungua miaka 18
- Wawe Watanzania
- Wawe wa jinsia ya kike
- Wajue kuongea Kingereza na Kiswahili kwa ufasaha
- Wawe na elimu (ujuzi) ya utoaji huduma ya vinywaji na vyakula kwa wateja (F&B customer services)
- Wawe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja
- Wawe na muonekano mzuri
Kwa wahitaji, wanaweza kuleta CV zao kupitia :
Club Manager - 0654 743 825