Nafasi za kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Acha Dhambi, Dec 23, 2011.

 1. Acha Dhambi

  Acha Dhambi Senior Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  kwa wale wanaotafuta kazi njooni tufanye kazi katika muda wetu wa ziada kadri hunavyofanya kazi ndivyo kipato kinaongezeka njoo TIENS Msasani karibu na shule ya msingi msasani B njoo j5 saa 5 kwa mawasiliano piga +255718064602
   
 2. C

  Coolbaby Senior Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi ya aina gani, jinsia gani,umri wa miaka mingapi jibu tafadhali?
   
 3. Acha Dhambi

  Acha Dhambi Senior Member

  #3
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  kazi ya kujiajili mwenyewe lakini kampuni inakulipa kwa kazi yako na utapata elimu ya namna ya kuifanya kwa njia ya mtandao (MLM) haijalishi umri elimu wala njinsia ni kwa yeyote. njoo j5 usikilize
   
 4. Janice

  Janice Member

  #4
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hilo shirika ni kama GNLD,Forever Living. So kwa mnaoenda u should probably knw this
   
 5. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2011
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,125
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  kweli hyo kazi nimeisha hsi ni sawa na hao uliowataja
   
 6. J

  Jrafiki Member

  #6
  Dec 23, 2011
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lakini pia ni kazi,so usichague na kwa nini uhisi,kajionee mwenyewe.
   
Loading...