Nafasi za kazi

Nafasi za kazi

Joined
Aug 17, 2016
Posts
73
Reaction score
39
Cvpeople africa tanzania ni wakala na mbali moja wa ajira africa nzima. Ikiwa na umri zaidi ya miaka ishirini.

Ni wakati wako sasa kujisajili nasi bure kupitia tovuti yetu .na kuweza kuchagua ajira uipendayo.

Cvpeople africa haitozi jobseeker gharama yoyote. Iwapo utapewa taarifa na mtu yeyote akidai anatokea cv people akiwa na madai kukuhitaji kutoa gharama zozote toa taarifa kupitia 0758961961 epuka matapeli.

Kazi zetu zote tunazipost kwenye tovuti yetu.. Hivyo ni muhimu kujisajili ili kuweza kuziona kwa urahisi.

Jisajili nasi bure..
 
Am facing the same case...ngoja tusubiri jibu lake/lao
Profile strength 80+ hata "vijiintavyuu" siitwi...CVPEOPLE nn tatizo?
Habari,
Utaitwa interview iwapo imetokea position ambayo inakufaa na wewe utafit in. Au iwapo ume apply position and you have the qualifications. Haitakuwa vizuri kama tutakuita na kuutumia muda wako kwa interview na position inayokufaa hatunayo. Iwapo itatokea position inayokufaa na uta fit in hakika utaitwa kwenye interview. Pia unaruhusiwa kutembelea ofisi zetu kwa maswali ama changamoto yoyote utakayohitaji msaada kutoka kwetu. Tupo jirani kabisa na Msasani Mall. AU wasiliana nasi kupitia 0758 961961.
 
Naweza leta hard copy mana mm,natumia cm siwez apload cv mkuu.
 
Hard copy hatupokei kwani ni rahisi kupokea. Tafadhali fika katika internet cafe na ujisajili. Kwa kujisajili CV yako itakuwa salama na system itakutambua hivyo ni rahisi kukutrack
Naweza leta hard copy mana mm,natumia cm siwez apload cv mkuu.
 
CVPEOPLE AFRICA TANZANIA NI WAKALA NAMBARI MOJA WA AJIRA AFRICA NZIMA. IKIWA NA UMRI ZAIDI YA MIAKA ISHIRINI. NI WAKATI WAKO SASA KUJISAJILI NASI BURE KUPITIA TOVUTI YETU .NA KUWEZA KUCHAGUA AJIRA UIPENDAYO. CVPEOPLE AFRICA HAITOZI JOBSEEKER GHARAMA YOYOTE. IWAPO UTAPEWA TAARIFA NA MTU YEYOTE AKIDAI ANATOKEA CV PEOPLE AKIWA NA MADAI KUKUHITAJI KUTOA GHARAMA ZOZOTE TOA TAARIFA KUPITIA 0758961961 EPUKA MATAPELI.

KAZI ZETU ZOTE TUNAZIPOST KWENYE TOVUTI YETU.. HIVYO NI MUHIMU KUJISAJILI ILI KUWEZA KUZIONA KWA URAHISI.

JISAJILI NASI BURE..
Nawapongezeni sana CV people Africa, kwani mimi ni mmoja kati ya watu waliopata ajira kupitia CV People Africa. Ni wazi mpo focused na mpo na consultants ambao wapo makini sana. Hongereni.
 
Cvpeople africa tanzania ni wakala na mbali moja wa ajira africa nzima. Ikiwa na umri zaidi ya miaka ishirini.

Ni wakati wako sasa kujisajili nasi bure kupitia tovuti yetu .na kuweza kuchagua ajira uipendayo.

Cvpeople africa haitozi jobseeker gharama yoyote. Iwapo utapewa taarifa na mtu yeyote akidai anatokea cv people akiwa na madai kukuhitaji kutoa gharama zozote toa taarifa kupitia 0758961961 epuka matapeli.

Kazi zetu zote tunazipost kwenye tovuti yetu.. Hivyo ni muhimu kujisajili ili kuweza kuziona kwa urahisi.

Jisajili nasi bure..
Je nikileta CV ofisini kwenu mtapokea. Naona hii njia ya kuaply online haizai matunda
 
Cvpeople africa tanzania ni wakala na mbali moja wa ajira africa nzima. Ikiwa na umri zaidi ya miaka ishirini.

Ni wakati wako sasa kujisajili nasi bure kupitia tovuti yetu .na kuweza kuchagua ajira uipendayo.

Cvpeople africa haitozi jobseeker gharama yoyote. Iwapo utapewa taarifa na mtu yeyote akidai anatokea cv people akiwa na madai kukuhitaji kutoa gharama zozote toa taarifa kupitia 0758961961 epuka matapeli.

Kazi zetu zote tunazipost kwenye tovuti yetu.. Hivyo ni muhimu kujisajili ili kuweza kuziona kwa urahisi.

Jisajili nasi bure..
Website yenu ni ipi
 
Back
Top Bottom