Shule ya Helasita Secondari iliyopo Mtoni Kijichi - Temeke jijini Dar es salaam, inatangaza nafasi za kazi ya ualimu kwa masomo yafuatayo.
*Physics/Mathematics (nafasi 1)
*Biology/Chemistry (nafasi 1)
Maombi yote yatumwe kupitia email ya shule ambayo ni:-
info@helasitasecondary.ac.tz
Pia unaweza kuleta kwa njia ya mkono shuleni Helasita.
Maombi yatumwe mapema iwezekanavyo.
Karibuni, pia tunaweza kuwasiliana kwa njia ya pm.
Sent using
Jamii Forums mobile app