Nafasi za kazi za udereva | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kazi za udereva

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by sayumwe, Jun 29, 2011.

 1. s

  sayumwe New Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana jamii F wote mimi ni dereva mwenye uzoefu wa miaka 5 nina leseni class C1
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Jaribu kusoma kidogo na mambo ya uhasibu hata Certificate tu,
  mara nyingi siku hizi madereva wanaochukuliwa kwenye makampubni ni wale angalau wanaweza kuandika hata invoice, sio kama zamani unakuta gari lina driver na mtu pembeni wa kufanya hayo mambo ya uhasibu
   
 3. p

  pemata2001 New Member

  #3
  Oct 10, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hata kama ni ukwasi unasumbua sawa basi toa wazo lako mahususi la kusaidia.
   
 4. Furaha Fedson

  Furaha Fedson Member

  #4
  Oct 10, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ukwasi tu huo unawasumbu! hahahahahahahahahaha
   
Loading...