Hakuna kitu kizuri kama kua na busara,hekima na staha katika jamii. Kama wewe si mwalimu maana yake alikuhusu ilo tangazo. Na kama ulizoe kufanya hivyo basi jiheshimu uache mara moja. Si mara ya kwanza kuleta tangazo la ajira humu na wapo nimewapata kupitia humu ushahidi tangu 2007. Wewe bila shaka ni mgeni apa JF na limbukeni. Learn how to live with people in peace.Hiyo ni shule bubu??tangazo halina sifa kimekaa kitapeli
Member wa 2018 ,13,August unaleta ujinga apa. Sijui King Modric ..heshimu mambo ya watu .
Hakuna mwalimu mwenye tabia kama zako.Ila wewe usiombe,waache wanaotafuta na wenye uhitaji waombe.Nipo humu kabla yako mkuu,lengo langu kuu ni kukukumbusha juu ya kufuata taratibu za uandishi WA tangazo...sio unaandika tu kama tangazo LA kiti moto !,bahat nzur mm nilikuwa mwalimu,ulitakiwa kuandika jina LA shule,location,sifa za waombaji nk.
Hakuna mwalimu mwenye tabia kama zako.Ila wewe usiombe,waache wanaotafuta na wenye uhitaji waombe.
Kitimoto Kama hicho hapoNipo humu kabla yako mkuu,lengo langu kuu ni kukukumbusha juu ya kufuata taratibu za uandishi WA tangazo...sio unaandika tu kama tangazo LA kiti moto !,bahat nzur mm nilikuwa mwalimu,ulitakiwa kuandika jina LA shule,location,sifa za waombaji nk.
Kitimoto Kama hicho hapo View attachment 1131500
Ahsante ila kama mtu anafikiria kuibiwa wala hamna aja kupiga simu hiyo namba au kuomba.Mkuu ungeweka taarifa za kujitosheleza ili kusiwe na shaka ya kuibiwa kwa wana jamvi, jina la shule na mahali iliko lingekuwa jambo la msingi sana!
Huyo king modric kuwa mchanga wa kuwa humu JF si hoja kakupa ushauri mzuri tu ila namna ya uwasilishaji wake kidogo ndio ulikuwa na doa, mimi binafsi ni mkongwe humu ila haya huwezi kuyajua kirahisi fuata ushauri wetu weka jina la shule na mahali iliko na taarifa zingine muhimu.
acha utapeli ndugu utanyea ndoo bila kutarajia.Habari zenu wasomi na walimu wote kwa ujumla. Ninazo nafasi za kazi ya ualimu kama ifuatavyo
1.History (1) Advanced Level
2.Physics (2) Advanced Level
3.Kiswahili (1) Advanced Level
4. Geography (2) Advanced Level
5.General Studies(1)
Shule ni nzuri,mazingira mazuri .
Tunakupa nyumba
Maji bure
Umeme bure
Mishahara mzuri.
NOTE: Wanahitajika walimu wenye shahada na kuendelea tu.
No.0622658064.
Ahsante
Acha utapeli wewe kukuHakuna mwalimu mwenye tabia kama zako.Ila wewe usiombe,waache wanaotafuta na wenye uhitaji waombe.
acha utapeli ndugu utanyea ndoo bila kutarajia.