Lady.A
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 393
- 194
Mwaka juzi nilikutana na mama mmoja ametokea dubai jomo kenyeta airport alikuwa anafanya kazi za ndani. alinionesha makovu ya kupigwa na anasema alinyang'anywa pass yake so akawa awezi kutoroka anasema mpaka wamemrudisha amewasumbua sana na kwenda ubalozini ndio pona yake na hapo airport alikuwa anasubiri flight yake ya kuja dar saa kumi na moja jioni me nilimkuta asubuhi
Arabuni upate profession job nahisi utakuwa uhuru
mweleze huyo asiye na huruma na ndugu zake! hata ndugu yangu alinyang'anywa pass yake, wanaosema wasichana wa ndani, sio kweli hakuna anayemuingilia msichana wa kaz kinyume na maumbile, na kumlazimisha kufanya ngono.