Nafasi za kazi ya ushonaji

Nafasi za kazi ya ushonaji

Husninyo

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
24,167
Reaction score
10,226
Hi!
Kaka yangu ana mpango wa kufungua office ya ushonaji, maandalizi karibia yote tayari imebaki human resources.
Nikiwa kama partner kwenye hiyo business tunatafta watu wafatao.

Bookkeeper:
· awe amemaliza atleast form four na angalau C ya hesabu.
· Awe anaweza kutumia computer

Washonaji (3)
· Awe anajua kushona na kudarizi nguo za kike na za kiume
· Awe anajua kutumia manual na automatic sewing mashines
· Awe anaweza kubuni mitindo mbalimbali ya nguo.
· Awe anaweza kutumia computer au awe tayari kujifunza.

Afisa masoko (1)
· Awe amemaliza atleast form six
· Awe na uwezo wa kushawishi wateja
· Awe msafi wa mwili na mavazi
· Awe anajua kutumia computer au awe tayari kujifunza.
· Awe na leseni ya udereva.

Designer & Supervisior (1)
· Awe amemaliza atleast form six
· Awe na uwezo wa kuongoza/kusimamia
· Awe na uwezo wa kubuni mitindo mbali mbali ya nguo
· Awe na uwezo wa kutumia computer

Office attendant (1)
· Awe msafi
· Awe mcheshi na mkarimu

Mshahara ni negotiable, lunch itatolewa ofsn plus medical allowance. Location ya ofisi itatangazwa. Maombi yote yatumwe kwa husnatty@yahoo.com
Kwa posts za ushonaji na designer waambatanishe na atleast picha mbili ya kazi walizowahi kufanya. Unaweza KuniPM kama unahitaji maelezo Zaidi.
 
hi, ningependa kujua
1.ofisi ipo wapi na inaanza kaz ln?
2.office attendant elimu gani
3.sijui nguo za kiume na kudarizi siruhusiwi kuomba?
ningeomba ma
wasiliano kiukweli nna shida na kazi
 
hi, ningependa kujua
1.ofisi ipo wapi na inaanza kaz ln?
2.office attendant elimu gani
3.sijui nguo za kiume na kudarizi siruhusiwi kuomba?
ningeomba ma
wasiliano kiukweli nna shida na kazi

Mkuu angalia usije kujikuta unamhamasisha aedit tangazo na kuongeza vigezo alafu na we ukawa hauqualify.
Ushaambiwa hapo office attendant awe msafi, mcheshi na mkarimu basi.....elimu unayoulizia ya nini tena?
 
Husninyo yawezekana ukawa unalifahamu hili namimi ninakukumbusha tu. Moja ya masharti ya ofisini kwako hili lazima liwepo kama ofisi yako itakuwa kubwa ''ni marufuku kwa fundi kuonana na mteja, endapo fundi atatakiwa kuonana na mteja kwasababu zisizozuilika basi haitakiwi fundi kutoa namba yake ya simu kwa mteja''
Hicho kitu ni muhimu sana, i hope unaelewa ni kwanini.
 
Last edited by a moderator:

ha ha ha nimekupata mkuu
 
ningependa kujua kwa nini mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hzo nafasi tunazihitaji mafundi tupo Na uzoefu wa mda mrefu pia nashona nguo Aina zote
 
Mimi nauzoefu na uwezo wa kutumia computer, je nakupataje, na office ipo WAP, Nina uzoefu wa computer kwa miaka6.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom