Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,556
Sasa wenzako wanalipwa 100 mpaka elfu 70..hao ndo wanaongoza.Kweli lakini unawezaje kuishi kwa mshahala wa 250,000/=....kama unaweza njooo nikuunganishie kamanda
Sasa wenzako wanalipwa 100 mpaka elfu 70..hao ndo wanaongoza.Kweli lakini unawezaje kuishi kwa mshahala wa 250,000/=....kama unaweza njooo nikuunganishie kamanda
Mishahara ya G4S si ndio hiyo ya laki na 20 mpaka laki na 50 kwa mwezi?Wameingia Mkataba Kuanzia 1 Julai 2020 Wanahanza Contact G4S Wamekataa Kumuongezea Mkataba