Kampuni yako ya Kizalendo ya YECCO (T) LTD ishughulikayo na Ukandarasi wa Building, Civil, Electrical and IT inatangaza nafasi za kazi ya uhandisi :
Sifa:
A) Awe amehitimu elimu ya Building, Civil, Electrical and IT kuanzia ktk ngazi ya Advance Diploma na kuendelea,
B) Awe amehitimu ktk chuo kinachotambuliwa kitaifa na kimataifa,
C) Awe na leseni ya EWURA na
D) Awe na elimu ya ya utangulizi ya kompyuta.
E) Asiwe aliwahi kuwa Technical Director ktk kampuni yoyote CRB
Maombi ya tumwe kwa anwani ya kimtandando
yeccotltd@yahoo.com , au kufika ofisi zetu zilizopo mtaa wa Samora,Posta, Dar es salaam, Tanzania, Coronation House,Ghorofa ya pili, jirani na Baraza Kiswahili.
Bila kusahau kopi ya cheti cha kuzaliwa na Picha mbili za pasipoti ktk maombi hayo!
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 25/3/2012