Nafasi za Kazi ya Uhadhiri Chuo cha Mipango, Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za Kazi ya Uhadhiri Chuo cha Mipango, Dodoma

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Bavuvi, Aug 7, 2011.

 1. Bavuvi

  Bavuvi Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Mar 1, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Regional Planning - nafasi 3 - requires masters degree
  Environmental Planning - nafasi 4 - requires masters degree
  Finance and Accounting - nafasi 2 - requires masters degree
  Research Fellow (poverty related) - nafasi 1 - - requires PhD

  Salary is comparable to any government university of higher learnign insttitutions
  Interested persons please send your applications quickly.
   
 2. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Poa tu japo kura hazitoshelezi.
   
 3. locust60

  locust60 Senior Member

  #3
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 1, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kumbe tuna hata chuo cha mipango mbona mipango haitimii?
   
 4. k

  kisoti Member

  #4
  Aug 9, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ipo siku itatimia tu
   
 5. v

  vickitah Senior Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hahah.. itimie wapi kila mtu anajipangia mwenyewe

   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,162
  Trophy Points: 280
  Halafu kuna mtu alishaleta mada humu humu JF kuwa Serikali haiajiri walimu! Nashangaa sana na watu wanaoleta habari za uongo. Najiuliza, aliyeleta hii mada au yule aliesema Serikali hawana fedha ya kuajiri, yupi ni mkweli?
   
 7. PEA

  PEA Member

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkweli wewe
   
 8. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Mipango ya chuo hiki haiwezi kutimia kwani hakiendeshwi kitaaluma; kingekuwa kinaendeshwa kwa kujali taaluma kisingekuwa na mwenyekiti wa baraza la chuo mwenye cheti cha FORM FOUR!! Qualification iliyomfanya apate cheo hicho ni kuwa anatoka BWAGAMOYO!! What crap!
   
 9. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br />
  mbona ina semekana ina wahadhiri waliobobea.
   
Loading...