COMPLICATOR2011
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 253
- 35
u-turn? get serious mopaozi......Yaa web yao hii hapa u-turn.co.tz
Kuna thread ilikuwemo humu ya nafasi za kazi VETA, hlf baadae nikasikia kuna nafasi tena za kufundisha zilitangazwa VETA Mtwara na Lindi hizi sikuziona, naomba kama kuna mwenye details atuletee ili tuaply na kama zile za mwanzo walishaita watu kwenye interview. Hawa jamaa nasikia wanalipa vizuri ila ni ngumu kupata kazi zao.
Nafasi za mwanzo walishaita Jumatano ndo interview.Kupata kazi VETA ni rahisi hawabagui tena entry qualification kwa walimu ndo ndogo sana form IV,trade test grade I na cheti cha ualimu.Mshahara kwa sifa kama hizi unaanzia 560,000 pamoja na housinga allowance ya 15%.Marupu rupu kwa walimu yapo sana,semina kwa wingi hasa zinafanyikia kwenye chuo cha Morogoro na hata safari za nje zipo sana kwa walimu hasa Canada na Korea kwa kuwa ndo wafadhili wao wakubwa.Rate za perdiem kwa anayeanza kwa ngazi ya ualimu ni sh 60,000 kwa siku na ukienda nje ya nchi ni sh 540,000 kwa siku.Kwa ajira mpya unalipwa pesa ya kusafirisha mizigo kwa rate ya sh 500 kwa km na perdiems za siku 14.Kwa hiyo sio mahali pabaya kwa wenye fani ya ualimu

Hapo sawa kabisa wadau. Sasa naomba nami mnisaidie tangu nimejiunga humu JF bado nashidwa kuweka full details kama zenu nisaidieni ili hata kama napost kitu kwa lengo la kujuzana ziwe zinaonekana. AsanteniDah! Mkuu umenipa full information, vp uko VETA nini? Vp kuhusu hizi za kanda ya Mtwara?
Nafasi za mwanzo walishaita Jumatano ndo interview.Kupata kazi VETA ni rahisi hawabagui tena entry qualification kwa walimu ndo ndogo sana form IV,trade test grade I na cheti cha ualimu.Mshahara kwa sifa kama hizi unaanzia 560,000 pamoja na housinga allowance ya 15%.Marupu rupu kwa walimu yapo sana,semina kwa wingi hasa zinafanyikia kwenye chuo cha Morogoro na hata safari za nje zipo sana kwa walimu hasa Canada na Korea kwa kuwa ndo wafadhili wao wakubwa.Rate za perdiem kwa anayeanza kwa ngazi ya ualimu ni sh 60,000 kwa siku na ukienda nje ya nchi ni sh 540,000 kwa siku.Kwa ajira mpya unalipwa pesa ya kusafirisha mizigo kwa rate ya sh 500 kwa km na perdiems za siku 14.Kwa hiyo sio mahali pabaya kwa wenye fani ya ualimu
Nafasi za mwanzo walishaita Jumatano ndo interview.Kupata kazi VETA ni rahisi hawabagui tena entry qualification kwa walimu ndo ndogo sana form IV,trade test grade I na cheti cha ualimu.Mshahara kwa sifa kama hizi unaanzia 560,000 pamoja na housinga allowance ya 15%.Marupu rupu kwa walimu yapo sana,semina kwa wingi hasa zinafanyikia kwenye chuo cha Morogoro na hata safari za nje zipo sana kwa walimu hasa Canada na Korea kwa kuwa ndo wafadhili wao wakubwa.Rate za perdiem kwa anayeanza kwa ngazi ya ualimu ni sh 60,000 kwa siku na ukienda nje ya nchi ni sh 540,000 kwa siku.Kwa ajira mpya unalipwa pesa ya kusafirisha mizigo kwa rate ya sh 500 kwa km na perdiems za siku 14.Kwa hiyo sio mahali pabaya kwa wenye fani ya ualimu
Naomba kuliza.....et wahasibu wasaidizi VETA huwa wanalipwa kiasi gani kwa mwezi?u-turn? get serious mopaozi......
Naomba kuliza.....et wahasibu wasaidizi VETA huwa wanalipwa kiasi gani kwa mwezi?Nafasi za mwanzo walishaita Jumatano ndo interview.Kupata kazi VETA ni rahisi hawabagui tena entry qualification kwa walimu ndo ndogo sana form IV,trade test grade I na cheti cha ualimu.Mshahara kwa sifa kama hizi unaanzia 560,000 pamoja na housinga allowance ya 15%.Marupu rupu kwa walimu yapo sana,semina kwa wingi hasa zinafanyikia kwenye chuo cha Morogoro na hata safari za nje zipo sana kwa walimu hasa Canada na Korea kwa kuwa ndo wafadhili wao wakubwa.Rate za perdiem kwa anayeanza kwa ngazi ya ualimu ni sh 60,000 kwa siku na ukienda nje ya nchi ni sh 540,000 kwa siku.Kwa ajira mpya unalipwa pesa ya kusafirisha mizigo kwa rate ya sh 500 kwa km na perdiems za siku 14.Kwa hiyo sio mahali pabaya kwa wenye fani ya ualimu
900154 basic salaryNaomba kuliza.....et wahasibu wasaidizi VETA huwa wanalipwa kiasi gani kwa mwezi?