Nafasi za Kazi Utumishi

Nafasi za Kazi Utumishi

Jamani ajira za utumishi zinafurahisha. Halafu wanazitoaga nyingi mpaka inatia raha kuapply. Nadhani utumishi aweza kuwa job recruiter bora kwa sasa Tanzania. Kuna anayebisha huko?
 
Hivi kwa sie ambao hatujapata Vyeti Original vya CHUO (bado havijatoka) tunafanyaje wakuu
 
Hivi kwa sie ambao hatujapata Vyeti Original vya CHUO (bado havijatoka) tunafanyaje wakuu

Apply na hiyohiyo transcript....samtaim huwa wanapokea
 
Jaman anaye jua ku apply online tujuzane mana kila nikijaribu wananiambia niweke password na email na nikiweka inagoma ni ki creat stil inazingua

Bonyeza 'Register' kisha ingiza hiyo email na vinginevyo....kwa maelezo zaidi download 'Recruitment Portal User Manual' inapatikana website ya utumishi
 
Back
Top Bottom