Nafasi za kazi TRA

sio siri yani yule jamaa toka nianze soma vitabu vyake sitaki kusikia hata kuomba kazi..naumia sana nikiona vijana wenzangu wanavyolalamika kazi hamna sijui nini na nin..mtu unakaa home au kitaa mwaka mpk mitatu lkn kama ungejishughulisha mamboa yana kua poa kabisa u dont need money to make money..unacho hicho kitabu version ya pdf mkuu? navitafuta vtab vyake sana yan kila nikisoma najikuta hata nikitembea naziona opportunities za kupiga hela tu yan
 
katika sehemu ambazo sinaga mpango kutuma application zangu ni TRA, NI KUPOTEZA RESOURCES AMBAZO NINGEWEZA KUZITUMIA SEHEMU NYINGINE
 
Wenzetu wameshaanza na kazi kabisa unataka kutuma maombi? unawajua unawasikia? kazi kwa vi-memo.

acha kuwakatisha wenzako moyo. vijana wenye sifa stahili watapata kazi bila vimemo. hakuna hata mmoja aliyeanza kazi tangu mwaka 2010 bila kufanya process zote.......
 

nina hard copy tu mkuu
 

Wewe tu ndo huna sifa wenzako wa UDSM wanapiga kazi sasa hivi.
 
Wadau hivi kuna yoyote ambaye amefanya hizo application za TRA online akafanikiwa, mbona naona inazingua sana na hakuna feedback yoyote ukisha submit hiyo application
 
Teh teh interview lazima uitwe km una sifa ila kupata ni jambo lingine pia.
 
Wadau hivi kuna yoyote ambaye amefanya hizo application za TRA online akafanikiwa, mbona naona inazingua sana na hakuna feedback yoyote ukisha submit hiyo application

Mbona ni rahisi tu mkuu tena nimetumia simu kuijaza baada ya hapo wakanitumia this mail " ambapo kwenye hiyo mail wanakutumia reference number, So next time unaingia unafanya ku login na hiyo reference number then chini yake unachagua post

Labda kama utaenda kujazia internet cafe make sure umebeba details zako zote kuhusu 1.Personal information, 2.Education Qualification 3.skills and experience 4. References (referees)...
 



Mkuu shukrani sana kwa updates nilifanikiwa ijumaa kutuma application na nilipata Ref No, ubarikiwe kaka
 
Ngoma msimbaz centre written interview...watu nyomi.Watoto wa CBE ndo usiseme kwa ngaz ya diploma unaweza ukasema orientation course.
 
Ngoma msimbaz centre written interview...watu nyomi.Watoto wa CBE ndo usiseme kwa ngaz ya diploma unaweza ukasema orientation course.


miss strong sijakusoma unamaanisha watu wa diploma wameshaitwa au una refer zile nafasi za kipindi kile january?, ila ofcourse CBE wanabahati na hizi nafasi kwani wengi wanauwezo
 

Ndo ukasome Tumaini university na wewe sas!
 



:confused2: :confused2:
 

we kafanye kaz bure
 
Interview mbili ww ......written interview maswal ht 100 saa moja.
 
Msigombane ndugu zangu. mishahara ya tra ni ya kawaida sana

Ni kweli kabisa mimi nilikuwa na upper second class na niliomba kwa hao jamaa kama mara tatu hivi bila hata kuitwa kwenye usaili lakini wenzangu waliokuwa na lower class walipata ajira.Mimi mtoto wa mkulima nikaamua kufanya kazi katika makampuni ya private ambayo hayana urasimu lakini amini hadi sasa my salary ni zaidi ya mara nne ya huo mnaokimbilia TRA ndani ya miaka yangu mitano tangu nilipograduate.Hivyo hata mtakaopigwa chini msikate tamaa maana hao jamaa kwa urasimu wa kubebana hasa wachaga na wahaya hawajambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…