mkuu upo sawa na natamani vijana watanzania tufunguke katika fikra.
Kuna raisi mmoja wa Marekani aliwahi kusema "before asking what your country will do for you, ask yourselft what will you do for your country"
ukishaona unafikiria mshahara kuliko kazi katika kitabu chake cha "retire young retire rich" Kiyosaki anaeleza utakuwa mtu wa kwenda shule kusoma kwa bidii upate "grade" nzuri za kukupa mshahara mzuri na sio uhuru wa kifedha na utumwa wa mshahara.
Na ukifuatilia utaona, watu wangapi wanadanganya umri wao kazini, na kwa nini?
Wazee wangapi wamestaafu serikalini kwa sababu ya utumwa wa mshahara wanashindwa kuendesha maisha yao ya uzeeni hatimaye kuamua kuomba ajira tena ktk taasis binafsi.
Mkuu napata shida na uchungu wa hawa vijana wenzetu/wetu wanavyofikiri.
Na katika hali hii tutegemee wawekezaji wa nje wataendelea kutufanya watumwa wao kwa kutmia mishahara.