msaada, kuna pa ku attach vyeti? nieleweshe plz coz nimefungua naona sehem tu pa kijaza details zingine
acha ujinga! Yaani ndo kwanza tangazo limetoka deadline haijaisha unaulizia mshahara?
Hivi wanajamvi kwa nini watu tumekuwa na umimi sana?
Hivi ikatokea watu hawalipwi mshahara kuna wengi humu ndani hawatafanya kazi.
Mnaboa sana, tangazo ndo kwanza limetoka unauliza mshahara! Why dont you ask resposibility instead of asking salary?
we lofa ushaona nani anafanya
kazi bila kulipwa?hivi we unaakili kweli?nyie ndo watu ambao mtabakwa
na wakenya mipaka ikifunguliwa..inaonesha hauna uwezo.wa kucompete
kokote duniani zaidi ya kwa wajinga wenzako tanzania..endelea kurelax
kama zoba.eti niulize responsibility!yani we kwa akili yako fupi mtu
mzima ajui responsibility zake? vyote mi navijua kasoro starting
salary!ndo maana nkauliza!lakini kwa kujifanya una akili unaleta viidea
vyako vya kijinga..yani we ungekuwa karibu ata ngumi ungeshakula
zakutosha.mi nauliza kingine we unajibu kingine.we mtu iq yako ni ndogo
sana kwa spot diagnosis..usijifanye mjuaji..kama kitu ukijui au hujui
mtu anauliza kwa nia gani..bora ukae kimya! siyo lazma ucomment kila
mahali..au huna kazi ya muhimu ya kufanya?
wajasiriamali wote wanafanya kazi bila mshahara kwa hata miaka mitano. Sasa wewe bila kutaka kujua undani wa nilichoongea unatoa "judgement"huyo kamanda na yeye ni fisadi. mafisadi hawajali mshahara ata kidogo wao wanajali wako sehem ya kupiga tu, ata ukiwaondolea mshahara kwao shwari tu.
we lofa ushaona nani anafanya kazi bila kulipwa?hivi we unaakili kweli?nyie ndo watu ambao mtabakwa na wakenya mipaka ikifunguliwa..inaonesha hauna uwezo.wa kucompete kokote duniani zaidi ya kwa wajinga wenzako tanzania..endelea kurelax kama zoba.eti niulize responsibility!yani we kwa akili yako fupi mtu mzima ajui responsibility zake? vyote mi navijua kasoro starting salary!ndo maana nkauliza!lakini kwa kujifanya una akili unaleta viidea vyako vya kijinga..yani we ungekuwa karibu ata ngumi ungeshakula zakutosha.mi nauliza kingine we unajibu kingine.we mtu iq yako ni ndogo sana kwa spot diagnosis..usijifanye mjuaji..kama kitu ukijui au hujui mtu anauliza kwa nia gani..bora ukae kimya! siyo lazma ucomment kila mahali..au huna kazi ya muhimu ya kufanya?
GPA inasoma? ama umesoma tumaini wewe? kimemo unacho?Nimeapply nasubiri kuitwa tu.
GPA inasoma? ama umesoma tumaini wewe? kimemo unacho?
msaada, kuna pa ku attach vyeti? nieleweshe plz coz nimefungua naona sehem tu pa kijaza details zingine
daah kaka ni watu wachache sana wanaweza kua na mtazamo kama wako..nafikir idea za robert kiyosaki kama unzao hivi binafsi sipendi utumwa watu kama wewe ndo muhimu sana lakini mbaya sana vijana wengi hawajui kwamba kuajiriwa ni utumwa...coz muajir anakuipa enuf uweze stay kazini na wewe waenda kazini ili usifukuze kazi...big up bro too bad watu hawaelewiwajasiriamali wote wanafanya kazi bila mshahara kwa hata miaka mitano. Sasa wewe bila kutaka kujua undani wa nilichoongea unatoa "judgement"
tatizo akili yako inaamini bila kuajiriwa huwezi kufanikiwa. Kwa ushauri kwako na kwa fluid tafuteni kitabu kinachoitwa "rich daddy poor daddy by Robert Kiyosaki" utaelewa ninachosema
kuendelea kufikiria hivyo ndiyo sababu vijana wa kitanzania wenye mtazamo kama wako wamebaki wakitembeza "application kila ofisi bila mafanikio. Unaweza ukafanya kazi bila malipo si kwa sabau wewe ni fisadi ila kwa sababu unatafuta "practical expirience" na "practical skills" na hii imenisaidia na pia watu mengine nimewashauri wamefanya "volunteering" zaidi ya mwaka na sasa wanaajira zao. Na nikuambie kuwa wanaofanya kazi kwa kuangalia mshahara ni watumwa wa kazi.(utafanya kazi x utaona mshahara hautoshi utaomba kazi y, utaona kama mshahara na majukumu haviendani utaamua kwenda kusoma ili upande cheo na mshahara, ukimaliza utaona kama elimu yako na uzoefu wako havistahili huo mshahara utahama ofisi kwenda ofisi yenye mshahara mkubwa zaidi. Yatakuwa ndo maisha yako yote hadi kufa. (kwani wewe huoni vijana wenzenu wanavyohama ofisi hadi ofisi wakitafuta mshahara na sio kazi)
jamani naona mmeshukuru sanaa hata mm nilikuwa nahamu hiyo ya kushukuru ila mbona post zenyee sizionii? naombeni maelekezo zaidi my fellow user friend please.
daah kaka ni watu wachache sana wanaweza kua na mtazamo kama wako..nafikir idea za robert kiyosaki kama unzao hivi binafsi sipendi utumwa watu kama wewe ndo muhimu sana lakini mbaya sana vijana wengi hawajui kwamba kuajiriwa ni utumwa...coz muajir anakuipa enuf uweze stay kazini na wewe waenda kazini ili usifukuze kazi...big up bro too bad watu hawaelewi