Kweli aseehWawepeleke vijana wakapige kazi
Kweli aseehWawepeleke vijana wakapige kazi
Watu wameanza kazi mwezi wa saba tarehe 20 akiwemo mdogo wanguNdiyo watayatoa kivyovyote mana hapa bandari bado mahitaji ni mengi mno pili wale wote walioitwa hawaja anza kazi hadi leo. Bandari inahitaji kufanya semina elekezi kwa watumishi wapya wote kwa pamoja hapa anaesubiriwa ni utumishi tu
