AJIRAdotCOM
New Member
- Dec 23, 2018
- 2
- 2
Outdated
Matapeli...Bado tu hamjapata wafanya kazi maana hii habari si ngeni kwangu.
Kumbe wanataka hela ya form 2000Matapeli...
Mkurugenzi wa kampuni ya
JN GROUP Co Ltd
anatangaza nafasi za kazi kwa vijana wa kiTanzania wa kike na kiume.
Kwa nafasi zifuatazo:-
1.Kazi za usafi maofisini
2.Kazi za viwandani
3.Kazi ya duka
4.Kazi za kuuza na kusafirisha bidhaa za kampuni
5.Kazi ya stoo na ukarani
6.Secretary
7.Afisa masoko
8.Kazi ya uhasibu
Sifa za mwombaji ni:-
1.Awe raia wa Tanzania
2.Awe na umri wa miaka 18 hadi 35
3.Awe na elimu ya msingi, sekondari, vyuo vya kati au vyuo vikuu
4.Kwa nafasi ya Secretary, Afisa masoko na Uhasibu mwombaji angalau awe na cheti, Diploma au degree
5.Awe na afya njema, mwenye nguvu na uwezo wa kutimiza malengo yatakayowekwa kwa kila siku
6.Awe mbunifu, mchangamfu, mwaminifu na anayeweza kujituma mwenyewe
KIWANGO CHA MSHAHARA NI KUANZIA TSH.270,000/= kwa mwezi na kuendelea
Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu
IHUMWA
P.O.Box 41000,
Dodoma, Tanzania.
Wasiliana nasi kupitia;
Barua pepe: ajiradotcom@gmail.com
Au tembelea mitandao yetu ya kijamii kwa taarifa zaidi;
Instagram: JN GROUP COMPANY LIMITED (@ajira_dot_com) • Instagram photos and videos
Facebook: https://facebook.com/ajiradotcom
Quality products and Services is our Destiny