Nafasi za kazi tanroad-morogoro

Abd Ngala

New Member
Dec 12, 2013
1
0
Nilipeleka maombi ya kazi za Operator pale Morogoro vipi wenzangu . Interview ilishafanyika nini? maana kimya hata sikuwahi kusikia kama wameita watu kwa ajili ya usaili. Naomba updates
 
Ndugu watu walishaanza kazi muda kidogo nadhani ishapita miezi 7. Au wewe hiyo kazi uliyoomba ni ya hivi karibuni?
 
Back
Top Bottom