Nafasi za Kazi - TACAIDS

Nafasi za Kazi - TACAIDS

When I die I keep on Living!!

Hivi TACAIDS ni nini? A bunch of i*i*ts spreading AIDS around the country!

Unaishi wapi mkuu mpaka huifahamu TACAIDS??

Haya Tanzania Commission for AIDS = TACAIDS
 
Unaishi wapi mkuu mpaka huifahamu TACAIDS??

Haya Tanzania Commission for AIDS = TACAIDS

"Commission for AIDS" - Jina kama nilishawahi kulisikia mahali vile - Are they "commisioning" AIDS? - Strange!!!
 
Asante sana mkuu ngoja nijaribu yaweza ikawa ni bahati yangu.
 
kyabushaija again and again.....!

ngoja nisome upya thread hii
 
Waheshimiwa, naomba anaefahamu kiwango cha mshahara kwa wanaoanza kazi huku TACAIDS, JSI/EGPAFF na kama wana benefit nyingine kama usafiri i. e nauli, nyumba nk. Ni muhimu kweli kweli

mkuu kazi za feb 2011 unaulizia leo au mimi ndo sijaelewa tangazo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom