blackgal94
Member
- Jul 13, 2016
- 37
- 15
Habarin,mm ni binti mwenye miaka 24 natafuta nafasi ya kazi kwenye supermarket, sehemu za kuonesha sinema, sheli ..n.k ..napatikana dar ..asanteni....mwenye chaneli pliz naomba ani text inbox
kwanini mnatuchosha nafsi zetu lakini jamaniaiseeeBandiko kichwa cha habari kama vile unatangaza kazi , lakin kumbe unatafuta.