Asante kwa taarifa. Lakini kwa hizi zilizotangazwa kwenye Faculty of Vet Medicine wameweka vigezo vingi kuonyesha tayari kuna watu wameandliwa, hii ni kutokana na uzoefu tulioupata tulipokuwa tunasoma pale SUA-Vet.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.