Nafasi za kazi Singida united

hamis77

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,643
19,018
Singida united watoa nafasi ya kazi

*TANGAZO NAFASI YA KAZI.*

Tunahitaji watu wawili kwenye nafasi mbili zifuatazo.

Sifa elimu ya kazi husika, uzoefu,
umri kuanzia 25-40,
makini na
wanaotambua professionalism kwenye kazi.

*NAFASI HIZO NI*

1.Daktari wa timu (wachezaji,)

2.Mpiga picha, awe na ujuzi kwenye.
Kupiga picha aina zote,
Graphics,
Uandishi wa habari(Photo journalism),
Video (editing).

CV/Maombi yatumwe kabla ya 05/08/2017

singidaunited@yahoo.com
festosanga52@gmail.com

Imetolewa na

Abdulrahaman Sima
Katibu
SINGIDA UNITED FC.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom