Nafasi Za Kazi - Security and Response Guards & Bodyguards | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi Za Kazi - Security and Response Guards & Bodyguards

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Bodyguard, Jul 22, 2012.

 1. Bodyguard

  Bodyguard Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kampuni mpya ya Ulinzi, Usalama na Inteligensia inakaribisha maombi ya watu wachache wenye sifa zifuatazo:

  1. Jinsia: Kiume na Kike
  2. Umri: Miaka kati ya 20 na 35
  3. Elimu: Kuanzia Form IV na Kuendelea:
  4. Lugha: Kiingereza na Kiswahili
  5. Tabia: Jasiri na mwenye tabia njema na asiye na record yeyote ya uhalifu (Police Clearance Certificate itatakiwa).


  Kazi zilizopo:

  1. Static Security Officers/Guards (Elimu: Darasa la Saba kama kapitia JKT au Mgambo na kuendelea)
  2. Incident Response Guards
  3. Bodyguards; Closed Protection & Escort - Waliopitia mafunzio ya ukakamavu kama Karate; JKT; Mgambo; Jeshini, Police n.k. watapewa kipau mbele
  4. Intelligence & Investigation Officers - Walio na Elimu ya Juu
  5. Training in using Small Weapons/Range & Weapon Services
  7. Security Consultancy Services
  8. Digital Security Communications

  Tuma maombi yako na CV kwa firstresponsebrigade@gmail.com

  NB: Kama una shida yu kupata Mlinzi binafsi/Security Guard nyumbani au ofisini kwako aliyepitia mafunzo rasmi ya ulinzi na anayetumia Digital Radio Call kwa mawasiliano huku akisaidiwa na kikosi maalumu cha dharura kwa bei nafuu, tafadhali wasiliana kupitia email zilizotolewa. Huduma zinapatikana kuanzia: 1[SUP]st[/SUP] August 2012.
   
Loading...