Wakuu leo nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa kuna nafasi za kazi Rwanda. Kama kuna mtu ana details za kina kuhusiana na nafasi hizo naomba atujuze please! Tanzania is boring dry pasture!
Acha fikra mgando,Rwanda hawaishi watu?acha watu watafute maisha.Wakuu kama kuna mtu ana connection ya nafasi za kazi za construction South Sudan naomba ani PM