Nafasi za kazi Rwanda

KIMBURU

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
210
189
Wakuu leo nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa kuna nafasi za kazi Rwanda. Kama kuna mtu ana details za kina kuhusiana na nafasi hizo naomba atujuze please! Tanzania is boring dry pasture!
 
hahaaa..sijasikia bado,ila ngoja tucheki hapa zoom.com, hope wana info
 
khaaaaa!,wewe Shy wenzio haitwi kimbuzi anaitwa KIMBURU bana.. Hata hvyo thank alot shy for your useful post
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom