Nafasi za kazi qatar airways

Nafasi za kazi qatar airways

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,879
Nimeona tangazo la kazi kwenye kituo cha daladala Duh!! Qatar? Hawa watu wanalipia matangazo cnn iweje hivi?
attachment.php
 
Attachments

  • qt.jpg
    qt.jpg
    37.8 KB · Views: 2,348
hilo labda litakuwa ni jina la daladala.
 
Matapeli hao

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nililiona hilo tangazo kwny kituo cha mbagala nikashindwa kuliattach hapa ila nilicheka sana, nadhani wana maana yao kuweka hilo tangazo mbagala
 
Hahaha! Qatar ile mitumbwi ya kuvua samaki baharinj... nenda tu utapata
 
Tangazo hili lipo kituo cha daladala taifa.
 
Kuna mademu na watatapeliwa na hata kuombwa rushwa ya k na kutoa kijinga hivyo hivyo. Be careful.
 
nimeona tangazo la kazi kwenye kituo cha daladala duh!! Qatar? Hawa watu wanalipia matangazo cnn iweje hivi?
attachment.php

welcome dinner with chicken wings
 
Attachments

  • 1403897484648.jpg
    1403897484648.jpg
    34.4 KB · Views: 420
kuna mademu na watatapeliwa na hata kuombwa rushwa ya k na kutoa kijinga hivyo hivyo. Be careful.

nikuchekeshe tu
majuzi niko mlimanicity aka the place na don wa nakumat kaja dada mmoja anasema ameongea na mtu kaambiwa kuna ajira
ila ameambiwa amtumie

alf hamsini. Yeye ameomba kwa ndugu wiki ya pili kapata thelathininatano. Aliomba aonane na mhusika amwelwze shida yake

kisa kaona tangazo mbezi mwisho nakumat wanaajiri

akatoa na namba za simu ukipiga awapokei hata kidogo

wanakutumia msg sema shida yako kwa msg tukusaidie

mtuhuyu itokee anakutanana hao malusifa na less ya 15si analipia bal lodge

inaumiza sana sana
 
mmhhh wewe kweli Pdidy
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom