Nafasi za kazi NSSF

svoca

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
373
Reaction score
70
Wadau nasikia hawa jamaa wametoa nafasi za kazi,hebu mwenye hlo tangazo au updates zake tuambiane.

 

Attachments

Asante sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
tanzania atuwez eleekea huko.kama madai hayayana ukwel,wazalendo wanaothamin mchango wa nyerere katika kulijenga taifa hil bas wachunguze madai haya kabla atujafika pabaya kama mataif mengine.n hatar sana ukiish nmna ya kuhis din fulan tunabguliwa.Mungu ibarik Tanzania
 
Ahsante mkuu.vp nikuulize hzi nafasi wanahtaji watu wangap? vp mm nina bachelor ya education naweza kuomba hii kitu?
 
NGOJA TUTUPE Application zetu, nyie tianeni uoga tu
 
hivi ukituma application kwa email , wataniconsider kweli ama ndo mpaka sanduku la posta, coz naona muda umeisha na sijui this days posta wako fasta kiasi gani???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…