wadau wakiona tangazo huko mitaani huwa wana'aply kimya kimya bila kutaarifu wadau humu, then baadaye wanakuja kuuliza humu, ".....mshahara sh ngapi?..... ''...short list tayari..?''
Walitangaza lini ajira hizi?
asante mkuu unaweza nitumia kwenye email hii nisome vizuri kelvinnyanja@gmail.com
mkuu hyo hapo jullymdoe@gmail.com msaada mkuu.Nitumie mail yako!! Kwan jamaa kanitumia inasumbua kuicopy na kuipaste!!!
Deadlini 21/3/2014
Bank tellers utume certified
copies pamoja na provisional results signed application letter n cv
deadline ni tar 21 mwez huu
Wadau naleta kwenu
Uzi
Mwenye kujua ni chance zipi,vigezo na mwisho wa kutuma maombi ni lini!!
Maana hawa jamaa nao washaanza ujinga!! Hawatangazi kwenye magazeti!!!!
Wanazitoa kimya kimya!!
-------------------