Ingekuwa vyema kama ungepost wewe.
wakuu mkiona hivyo mjue ameshindwa, taharifa yake inatosha kwani ndipo alipoweza.Kwani ukiweka wewe kuna tatizo gani?
mkuu kwa sie wana dsm kwe2 amani ila kuna w2 wpo ma village wape taff brah mana wao hta magazeti kufika huko ishu
Dah, ngoja nikalitafute, sijui litakuja leo.....
mnapeeeeenda nbc eeeeh
sa mbona nafasi yenyewe moja tu afu mnasema hizo?????????