Nafasi za kazi kwa walimu waliopo Dodoma

Investaa

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
795
657
Habari wanajf, kama kichwa cha habari kinavyojielezea. Mimi kunakitu nilkuwa nawaza kufungua kituo cha education center kwaajiri ya wanaorudia mitihani yao ya kidato cha nne na wanaotaka kusoma tuition ya masomo mbalimbali. Kwaiyo natafuta walimu wa masomo mbali mbali kwaajiri ya kufundisha masomo yote ya o-level na a-level.

Kwa walimu wa dodoma tu namba zangu hizi 0652247221 / 0755429928
 
Tujulishane ukikifungua, Mimi ni mwalimu wa masomo ya geography na mathematics
 
Walimu hata sio wa kutafuta we fungua tu kituo watajaa hapo hadi wakose pa kusimama
 

MKUU,

WA FIZIKIA NA HESABU AMEPATIKANA??
 
Npo mkuu..!!! Sema mtaa gani nafundisha masomo mawili geography na uchumi kwa advance..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…