Nafasi za kazi Kiwandani.

Nafasi za kazi Kiwandani.

Tembele

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Posts
1,154
Reaction score
350
Kiwanda cha kuchakata plastiki kilichopo tegata - Daressalaam, Kinatafuta vijana wawili kwa ajili ya kazi za kiwandani, Kazi hizo zinahusisha , kuchambua plastiki, Kuosha plastiki, Kusaga plastiki na Kuengeneza bidhaa mbali mbali kwa kutumia plastiki, vijana wawe na sifa zifuatazo.

1. Awe anajua kusoma na kuandika vema.
2. Awe Mwaminifu, mwenye Maadili Mema na anafundishika.
3. Awe na Umri kati ya miaka 20 hadi 35
4. Anayeishi Maeneo ya Tegeta au karibu na Tegeta atapewa kipaumbele.
5. Mwenye utayari wa kuanza kazi Jumatatu ( 14/04/2025 )
6. Awe na utambulisho rasmi wa barua kutoka serikali mtaa anaoishi.

Tafadhali Piga simu No: 0757100012

unaweza pia kutuma bara pepe kwa: info@ecoact.co.tz
 
Weka mshahara hapo uonekane
 
Back
Top Bottom