Nafasi za kazi JKT na mgambo

Nafasi za kazi JKT na mgambo

Afadhari wewe umeonesha uzalendo wa hali ya juu. Mkuu hizi habari za kusikia hazitoshi bila wewe mwenyewe kuzitafuta ili uwe na uhakika nazo, hivyo nakushauri nenda Ofisi ya Mkuu wa wilaya iliyo karibu yako ulizia ofisi ya Mshauri wa Mgambo, hapo utapata habari zote unazouliza tena kwa uhakika zaidi.
 
mwezi wa sita mwishoni au mwezi wa saba mwanzoni! nilikwenda kuuliza office za wilaya yetu!

office za wilaya yetu wamesema zitatoka mwez wa 5 mwshon o wa 6 mwanzoni sasa wap wanaxema ukwel? Jaman mwenye eny infor toka makao makuu atwambie bhac
 
office za wilaya yetu wamesema zitatoka mwez wa 5 mwshon o wa 6 mwanzoni sasa wap wanaxema ukwel? Jaman mwenye eny infor toka makao makuu atwambie bhac

nashukuru wakuu ngoja nijaribu kuuliza kwenye wilaya yetu lini zinatoka
 
Back
Top Bottom