CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Tungoje wahusika waje na data. Mi nikikumbuka tpdc walivyo kula bati tokea deadline june 27, sina hamu na hizi mambo za kusubiri.
Muwage wavumilivu, hauwezi jua mipango yao... wao ndio wahitaji
Asante mkuu, ngoja niwage mvumilivu...
Kweli chal kama kuna mtu anataarifa zozote atujuze basi.
TPDC wana miradi ambayo inategemea kuanza na inahitaji wafanyakazi wengi tu, so ni lazima mtaitwatu kufanya usaili kikubwa ni kua na subira. Mie ni mmoja ya nilio ombaga pale, ila sinaga uvumilivu nisha temana nao... na hata contact zangu nilibadili, maana haya mambo unakua unaishi kwa ma hope sana ambayo yapo mikononi mwa watu.
Baba, rudi tuendelee kuwangoja TPDC...