Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 5,151
- 1,678
Ebenezer Television ni kituo kipya cha habari ambacho kinatarajia kuanza kurusha matangazo yake kutokea Mikocheni Dar es Salaam. Kituo kinahitaji wafanyakazi katika Nyanja zifauatazo;
A. NAFASI ZA AJIRA
1. Mhariri Mkuu – Nafasi moja (1)
Uzoefu wa miaka miwili katika nafasi kama hyo
12. Mhasibu – Nafasi moja (1)
Waandishi wa Habari – Nafasi tatu (3)
Mhariri wa picha – Nafasi mbili (2)
Msaidizi wa msimamizi wa vipindi – Nafasi mbili (1)
Mrusha Matangazo – Nafasi mbili (2)
Wapiga picha – Nafasi mbili (2)
Wakutubi – Nafasi mbili (1)
Waandaaji vipindi – Nafasi mbili (2)
- Wawe na ujuzi katika fani husika uzoefu si lazima AU awe mwanafunzi anayetarajia kumaliza masomo katika fani husika
C. Watendaji wa kujitolea (Volunteers)
Wapiga picha – Nafasi 1
Wahariri picha – Nafasi 3
Waandaaji vipindi – Nafasi 4
Afisa Masoko – Nafasi 3
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Maombi yote yaliyo ambatanishwa na nakala za vyeti na CV yatumwe kwa;
Mratibu wa Mradi - Ebenezer Television
S.L.P 4067
Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma
Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Dar es Salaam.
AU
Kwa barua pepe ebztvtz@gmail.com katika mfumo wa PDF na viambatanisho vyote viwe katika nakala moja.
Mwisho wa kutuma maombi ni February 12, 2020.
ONYO: USITOE PESA KUOMBA KAZI EPUKA MATAPELI
A. NAFASI ZA AJIRA
1. Mhariri Mkuu – Nafasi moja (1)
- Awe na Shahada ya Uandishi wa Habari au Mawasiliano ya umma
- Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu katika nafasi hiyo
- Awe amelelewa katika maadili ya kikristo.
- Awe na uwezo wa kusimamia uzalishaji wa vipindi
- Awe amehitimu katika vyuo vikuu vinavyotambulika na serikali.
- Awe ana kiwango cha chini cha Stashahada kutoka Chuo kinachotambulika.
- Awe na uzoefu usiopungua miaka miwili katika nafasi hiyo
- Awe ana kiwango cha chini cha Stashahada kutoka Chuo kinachotambulika.
- Awe na uzoefu usiopungua miaka miwili katika nafasi hiyo
- Awe na Stashahada kwenye uandishi wa habari, uhariri picha au ubunifu wa matangazo.
- Awe na uzoefu usiopungua miaka miwili.
- Wawe na elimu kuanzia Astashahada katika upigaji picha nyongefu
- Awe na ujuzi wa sauti za picha nyongefu
- Awe na uzoefu usiopungua miaka miwili.
- Awe na Stashahada katika teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT)
- Au Stashahada katika teknolojia ya mawasilianao na elektroniki
- Awe na uwezo wa kutatua matatizo ya kiufundi
- Awe na uwezo wa kushauri vifaa bora kutokana na teknolojia
- Awe na elimu isiyo chini ya Astashahada ya Uandishi wa Habari au sifa inayofanana na hiyo.
- Awe na uzoefu usiopungua miaka miwili katika fani husika
- Awe na elimu isiyo chini ya Astashahada ya utunzaji kumbu kumbu
- Awe ana ujuzi wa kutunza vielelezo vya sauti na picha nyongefu
- Uzoefu wa zaidi ya mwaka mmoja.
- Awe na elimu isiyopungua astashahada ya uandaaji na usimamizi wa vipindi
- Awe anajua kupanga ratiba za vipindi katika kituo cha runinga.
- Awe anajua kupanga utaratibu wa matukio ya kitaifa au kikanisa yatakayotokea.
- Awe anajua kupanga na kuratibu matangazo ya biashara katikati ya vipindi pale endapo tangazo litakuja.
- Awe na elimu isiyopungua Astashahada
- Awe na uzoefu wa mitandao ya kijamii
- Mwenye ujuzi wa mifumo ya kielectronika na komputa
- Awe na elimu ya shahada ya awali katika Uongozi yaani (Public Administration, Leadership and Governance.
- Mwenye ujuzi wa habari na Mawasiliano atapewa kipaumbele
- Awe amelelewa katika maadili ya dini ya KIKRISTO
- Awe tayari kufanya kazi nyingine zinazoendana na nafasi hyo
Uzoefu wa miaka miwili katika nafasi kama hyo
12. Mhasibu – Nafasi moja (1)
- Awe na elimu ya shahada ya awali katika masuala ya fedha
- Awe amelelewa katika maadili ya kikristo
- Awe na uelewa katika masoko na biashara
- Awe na uzoefu wa miaka miwili
- Awe amelelewa katika maadili ya KIKRISTO
- Awe na stashahada ya umeme katika chuo kinachotambulika
- Awe na uzoefu wa vifaa vya electronics na sauti
- Awe anaufahamu umeme wa phase moja na phase tatu
- Awe na uwezo wa kufuatilia tatizo la umeme na kulitatua
- Awe na ujuzi wa kuunganisha na kuwasha generator.
Waandishi wa Habari – Nafasi tatu (3)
Mhariri wa picha – Nafasi mbili (2)
Msaidizi wa msimamizi wa vipindi – Nafasi mbili (1)
Mrusha Matangazo – Nafasi mbili (2)
Wapiga picha – Nafasi mbili (2)
Wakutubi – Nafasi mbili (1)
Waandaaji vipindi – Nafasi mbili (2)
- Wawe na ujuzi katika fani husika uzoefu si lazima AU awe mwanafunzi anayetarajia kumaliza masomo katika fani husika
C. Watendaji wa kujitolea (Volunteers)
Wapiga picha – Nafasi 1
Wahariri picha – Nafasi 3
Waandaaji vipindi – Nafasi 4
Afisa Masoko – Nafasi 3
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Maombi yote yaliyo ambatanishwa na nakala za vyeti na CV yatumwe kwa;
Mratibu wa Mradi - Ebenezer Television
S.L.P 4067
Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma
Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Dar es Salaam.
AU
Kwa barua pepe ebztvtz@gmail.com katika mfumo wa PDF na viambatanisho vyote viwe katika nakala moja.
Mwisho wa kutuma maombi ni February 12, 2020.
ONYO: USITOE PESA KUOMBA KAZI EPUKA MATAPELI
