Nafasi za kazi Dubai

Nafasi za kazi Dubai

kindili kindili

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Posts
242
Reaction score
54
nimeitoa hii kutoka Habari leo la jana ukurasa wa 11, pale kwenye matangazo madogo madogo, nafasi za kazi Dubai, umri kati ya 18-35....

piga 0715 063 534 na 0718 339 433. Nawasilisha,

atakayepiga aje atueleze yalojiri huko,
 
ngoja nipige afu nijewapa mrejesho.
 
nimeitoa hii kutoka Habari leo la jana ukurasa wa 11, pale kwenye matangazo madogo madogo, nafasi za kazi Dubai, umri kati ya 18-35....

piga 0715 063 534 na 0718 339 433. Nawasilisha,

atakayepiga aje atueleze yalojiri huko,

Mbona usipige mwenyewe kisha ukatuletea kilichojiri?
 
Mrejesho.
Ukipiga anapokea mrembo kwa sauti moja tamuuu kasema ni kwa watoto wakike tu kazi hizo ni HG. Sasa kama ni kazi kwa HG tu sijui sisi HB tutaendaje chooni. hahahah.......
 
Mdada ukienda dubai ufanya kazi za ndai lazima upigwe dushelele tigo kwa sana tu waarabu hawana maana hata kidogo
 
sina simu ndugu kwa leo na kesho..lakn nishafanya kazi kubwa kuwasogezea..pigeni mnijuze
 
Mdada ukienda dubai ufanya kazi za ndai lazima upigwe dushelele tigo kwa sana tu waarabu hawana maana hata kidogo
Bora tu wakapigwe dushelele arabuni watarudi japo na mpango wa kueleweka tofauti na wanavyopigwa pale corner bar na kimboka buguruni.
 
hhahahahaha hahahaha hahaha...beta wamekuwa wakweli wasiwasi wangu sio kuwauza kweli? na je si kuwabebesha unga?...yaani ni halali kweli?? mi ntapiga kuuliza mshahara haha na likizo
 
King'asti.

Binadamu hatukosi cha kuongea. Wakiwaajiri Wakenya mnasema mnabaguliwa kwann wakenya tu, mkipewa nafasi hizo mnaanza kutoa maneno ya saloon, kazi wafanye wenyewe. Ndo maana hatuna maendeleo kwa mawazo kama hayo. Mbona hapa bongo kazi za ndani unaajiri mtu wakuzifanya, kwann usifanye mwenyewe.

Bongo bhana, kuendelea sio leo. lol
 
Watu kibao wanaenda na hata kurudi hawataki, wanapiga hela nzuri, mtu hujasoma kbsa unapigwa laki 4 mpaka 5 kwa mwezi. lile tukio lililotokea ilikua ni tatizo la agent wa hapa hapa bongo, warabu wametaka machangudoa wazuri, sasa agent akaona badala ya kwenda kubeba wale wanaokaa barabarani kaona wameshachoka anataka wabichi wabichi, ndo akasingizia ni kazi za ndani maana akisema ni kazi ya danguro hamna ambae angejitokeza. kwahiyo mbongo mwenzetu mwnywe ndo aliewauza wabongo wenzake.

Wasichana kibao wanafanya kazi na wananawiri kurudi hawataki, hapa utampa elfu 30 mpaka 50. kule anachukua laki 4, msosi mzuri, AC mda wote, kazi zenyewe sio nyng, manyanyaso inategemea na mwajiri na tabia yake, hata hapa wananyanyaswa, na hamna hyo kitu, balozi ipo, makundi ya ubongo yapo. hamna anaemnyanyasa mtu, na sio kazi za ndani tu, zipo za security km wakenya na wa nigeria wanapiga bao, wabongo tutabakia majungu na kulalamika.

Narrow minded.
 
nimepiga nikampa dadaangu akaongea nao wakasema ni kazi za ndan,huko dubai,akauliza nauli ya kwenda huko inakuaje,akajibiwa kuwa unapaswa uende ofisin kwao ukiwa na lakimbili cash ndo wanakufanyia mpango wa safari kwa hiyo pesa yako,akauliza kuhusu mshahara akaambiwa ni laki nne kwa mwezi,was was wangu upo kwenye utapel unaweza ukapeleka laki mbili zako ukawa kama wale wale walopeleka pesa zao dec
 
Jackson john wewe ni biggie maana nna best yangu big anaitwa hivyo.
Tukija kwenye hoja yaan ur completely right siku hiz ktk ajira watu wanafanya utapel sn.
Yaan kukosa ajira kwa watu wao ni furaha. Further more wanajua sasahiv kuna ma graduates wengi sana mtaan kwa hiyo wanafanya kila mbinu wanase watu.
Mfano kamili. Watu walio jifanya wao ni Mwanza Community Bank na walitangaza kabisa ajira na watu walifanya aptitude Test. Then eti ili upate nafasi maana watu ni wengi walio apply unatakiwa utoe laki nne upitishwe moja kwa moja.
Haya jingine zile msg zilizotumwa kwa watu via whatsup kuwa NMB wametoa nafasi kanda zote za Tz na P.obox ya kila kanda kumbe ulikuwa nao utapel.

Nachukia sana hii tabia ya watanzania wenzetu kutumia fursa ya kuwatumia watu wanao angaika kutafuta ajira kwa faida zao binafsi.
 
Back
Top Bottom