Nafasi za kazi british high commissio vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kazi british high commissio vipi?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by TATIANA, Jul 19, 2012.

 1. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Wakuu,napenda mwenye taarifa anijuze vipi zile taarifa mdau aliziweka hapa jamvini wameshaita kwa interview?

  asante sana.
   
 2. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  ....wadosi walivyokama hizo balozi goodluck !!! Yaani wanaweza leta mtu kutoka pumjab kuja kuchukua nafasi kuliko wampe mmatumbi... ! Hawa akina Manji na Mo ipo siku tutawatoa nduki warudi kwao ww ngoja tu akina dhaifu waendeleze umasikini !!
   
 3. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Mkuu,unanitisha,hata hizi post ndogondogo wanakaba?
   
 4. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Chezea watu wengine sio hao wenye passport mia mia ! Hao wanajipenyeza ili mradi waingie ndani humo then mengine madili yanajipa. Nenda kaangalie watoa photo copy au mamesenja. labda kama umeomba nafasi za udereva, tena wa malori ya kusombea maji
   
 5. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hahaaa,acha kumtisha mwenzio bwana! i hope yo joking, hadi mesenja?
   
 6. N

  Natafuta kazi Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona wameshaita watu intavyuu jumatatu.
   
Loading...