Paul Mchumi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 1,043
- 1,276
Acha kudanganya umma. Hao washenzi mshahara wao unaanzia Tsh.150, 000/=
Ni wakoloni wa ukweli.
Yap!ndio mishahara yao nimewahi fanya interview nlivyosikia huo mshahara nliondoka bila kuaga,ilikua last year,maybe kama wamebadilika.