Kanisa la Eagt mtoni kwa kushirikiana na shirika la Compassion International Tanzania linatangaza nafasi za kazi katika kituo cha kuwahudumia watoto wenye mazingira magumu.
Mkataba wa ajira: miaka mitatu mitatu
Mahali pa kazi.: Dar es salaam
Deadline: 25/07/2014
1.Project Director .nafasi 1
Sifa za mwombaji:
- Awe mkristo aliyeokoka na mwenye maisha ya ushuhuda katika mwenendo wake wa kila siku.
-Akubali kuhamia na kusali kanisa la Eagt Mtoni
-shahada ya kwanza kutoka chuo kinachotambulika na serikali katika maeneo ya uongozi /utawala,usimamizi wa miradi,usimamizi wa biashara, maendeleo ya jamii,maendeleo ya watoto,theolojia,na ualimu.
-Uwezo wa kutumika katika jamii maskini iliyo katika mazingira hatarishi,
-Awe na elimu na uwezo wa kutumia compyuta
-Umri 25-40
-Awe na moyo wa kupenda watoto na kutumika mazingira ya kanisani
2.SOCIAl WORKER:nafasi 1
Sifa za mwombaji
- Aliyeokoka mwenyenye maisha ya ushuhuda katika mwenendo wa kila siku.
-Akubali kusali na kuhamia Eagt mtoni
-Elimu , kuanzia stashahada ya maendeleo ya jamii, watoto, ualimu,kozi yoyote inayoendana na hizo kutoka katika chuo kinachotambulika na serikali.
-mwenye moyo wa kufanya kazi kanisani na kuwatumikia watoto
-uwezo wa kutumia compyuta
-umri 25-40
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI
Maombi yote yaambatanishwe na barua ya mchungaji wako ikiwa na mawasiliano yake ya simu yenye kueleza uhai wako kiroho kama mshirika .
-Barua ya kuomba kazi na nakala za vyeti kwa anuani ifuatayo
Mchungaji Kiongozi
Mtoni Eagt Church
P.o.box 46249
Temeke
Dar es salaam
Email:
tz-678@icptz.org au
chisoropm@hotmail.com
kwa mafafanuzi zaidi piga simu :0756 390 857,0657 552 902