Ana elimu gani?? Kule ukiwa na vigezo na vyeti vizuri fasta tu ukai sana
Muongozo ...... badala ya mwongo
Hii habar haina ukweli wwte kama unabisha nenda makao
Mbona hili tangazo lipo kwenye website yao JKT, au wanafanya utani?
Wanafanya utaniii??????acha masiala bana jeshi wafanye utani???aaah hapo ndo wameshaamua hivyoo aisee lile ni jeshi na si the commedy crew bana
Vuta subita kijana
Hii habar haina ukweli wwte kama unabisha nenda makao
Sawa mkuu! mimi nimeuliza subita siyo huko uliponijibu.Kuna kambi moja ipo mkoa wa subira uvumilivu33Kj
Da namie nina mpango wa kwenda jkt
Jkt ndio wapi huko?
Ni bora uwe mmachinga wa kutembeza bidhaa kuliko kwenda mafunzo ya jkt miaka 2......wengine wameandamana leo hii kushinikiza jeshi liwaajiri
Mi mdogo wangu ana mwaka wa pili yuko tu anasubiri ajira.jkt haiko fair kwa kweli
Some tyms unatakiwa ujiongeze kama mtu akikosea kdgo kuandika